IQNA

Warsha ya pili kuhusu Uislamu yafanyika Zimbabwe

11:15 - September 18, 2016
Habari ID: 3470569
Warsha ya pili ya kutoa mafunzo ya Uislamu kwa wanafunzi Wakristo na Waislamu nchini Zimbabwe imefanyika kwa mjini Harare.

Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, warsha hiyo imefanyika kwa himaya ya Mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Zimbabwe katika Msikiti wa Aal Mohammad SAW.

Warsha hiyo imeendeshwa na Hujjatul Islam Ali Mahdawi, mwanazuoni wa Kiislamu aliyetumwa nchini humo na Kituo cha Kimataifa cha Kuhubiri Uislamu cha Shirika la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu ICRO.

Washiriki wa warsha hiyo walikuwa ni wanafunzi wa wa Chuo cha Kidni cha Arrupe kinachofungamana na Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki cha Zimbabwe. Aidha kulikuwa na washiriki kutoka Chuo cha Fatimatu Zahra SA.

Katika warsha hiyo, wanafunzi wamejifunza kuhusu maudhu kama vile Sala, chakula halali na chakula cha Waislamu, saumu, mtazamo wa Uisalmu kuhusu Bibi Maryam SAW, Nabii Issa AS na itikadi kuhusu Hijabu na mwanamke kujisitiri.

Washiriki pia walikuwa na fursa ya kuuliza maswali na kupata majibu katika mazingira ya kirafiki. Washiriki pia walitunukiwa zawadi za Qur'ani Tukufu kwa tarjama ya lugha ya Kiingereza.

Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, warsha hiyo imefanyika kwa himaya ya Mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Zimbabwe katika Msikiti wa Aal Mohammad SAW.

Warsha hiyo imeendeshwa na Hujjatul Islam Ali Mahdawi, mwanazuoni wa Kiislamu kutoka Iran aliyetumwa nchini humo na Kituo cha Kimataifa cha Kuhubiri Uislamu cha Shirika la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu cha Iran ICRO.

Washiriki wa warsha hiyo walikuwa ni wanafunzi wa wa Chuo cha Kidni cha Arrupe kinachofungamana na Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki cha Zimbabwe. Aidha kulikuwa na washiriki kutoka Chuo cha Kiislamu cha Fatimatu Zahra SA.

Katika warsha hiyo, wanafunzi wamejifunza kuhusu maudhu kama vile Sala, chakula halali na chakula cha Waislamu, saumu, mtazamoa wa Uisalmu kuhusu Bibi Maryam SAW, Nabii Issa AS na itikadi kuhusu Hijabu na mwanamke kujisitiri.

Washiriki pia walikuwa na fursa ya kuuliza maswali na kupata majibu katika mazingira ya kirafiki. Washiriki pia walitunukiwa zawadi za Qur'ani Tukufu kwa tarjama ya lugha ya Kiingereza.Warsha ya pili kuhusu Uislamu yafanyika Zimbabwe

Zimbabwe ni nchi ambayo wakaazi wake wengi ni Wakristo na hivyo imeathiriwa vibaya na wimbi la chuko dhidi ya Uislamu au Islamophobia. Hali hiyo imekuwa mbaya zaidi kutokana na kuenea makundi ya magaidi wakufurishaji wenye misimamo mikali barani Afrika kama vile Boko Haram na Al Shabab.

Idara ya Utamaduni ya Iran nchini Zimbabwe imechukua hatua za kupunguza athari mbaya za chuki dhidi ya Uislamu na moja ya nchi hiyo ni kuandaa warsha ya kuujua Uislamu
Warsha ya pili kuhusu Uislamu yafanyika ZimbabweWarsha ya pili kuhusu Uislamu yafanyika Zimbabwe

3530872

captcha