IQNA

Picha za kipekee za Quds Tukufu katika muongo wa 1930

TEHRAN (IQNA)- Kabla ya Quds Tukufu ( Jerusalem) kukaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu Waislamu, Wakristo na Mayahudi walikuwa wakiishi pamoja kwa amani.