IQNA

Wakristo huadhimisha kumbukumbu ya uzawa wa Nabi Isa Masih AS katika siku ya 25 Disemba ambayo ni maarufu kama Kirsmasi. Siku hii huwa wiki moja kabla ya kuanza mwaka mpya wa Miladia.

Katika nchi ambazo zinafuata kalenda ya Miladia, mwaka mpya huwa Januari Mosi. Nchini Iran pia, hasa mjini Tehran, sawa na maeneo mengine ya dunia, Wakristo nao huwa na sherehe zao maalumu za Krismasi na mwaka mpya