IQNA

Ibada katika siku kuu ya kukumbuka uzawa wa Nabi Isa Masiih AS maarufu kama siku ya Krismasi ilifanyika katika Kanisa Katoliki la Waarmenia katika mji wa Ahvaz, kusini mwa Iran mnamo Disemba 25, 2018