iqna

IQNA

moon
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara ya kwanza kabisa tokea yalipoanza mashambulio ya kijeshi ya Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen amesikika akitoa kauli ya kutaka mashambulio hayo ya kijeshi yakomeshwe mara moja.
Habari ID: 3159650    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/17

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki- moon amejiunga na taifa la Iran katika kuadhimisha siku kuu ya Nowruz ya kuwadia mwaka mpya wa Hijria Shamsia.
Habari ID: 3015830    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/20

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban-Ki moon ambapo mbali na kulaani vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu ameambatanisha barua ya hivi karibuni ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika ya Kaskazini.
Habari ID: 2822425    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/08

Mbunge mmoja wa Chad amesisitiza kuhusu ulazima wa kutuma askari wa kimataifa kulinda maisha ya Waislamu Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mohammad Ibn Zain ameongeza kuwa kuendelea mauaji ya umati ya Waislamu huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ni natija ya kimya cha jamii ya kimataifa.
Habari ID: 1379190    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/24