iqna

IQNA

imam ridha
Ibada
IQNA - Zaidi ya Waislamu 70,000 kutoka nchi 22 wamejiandikisha kushiriki katika ibada ya itikafu au itikaf katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3478059    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/19

Qari Hossein Pourkoir, msomaji maarufui wa Iran, Alisoma aya za 101 hadi 107 za Sura ya Toba kwenye Haramu Tukufu ya Imamu Ridha (AS) Razavi, sauti yake imewafurahisha watu wengi, imetolewa na Iqana.
Habari ID: 3477777    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24

TEHRAN (IQNA) - Kufuatia mawimbi ya hivi karibuni ya jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya watu wa Ghaza, hususan shambulio lake katika hospitali iliyoua takriban watu 500, kaburi la Imam Reza (AS) Lilinyanyua bendera nyeusi tarehe 18 mwezi Oktoba.
Habari ID: 3477761    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/19

TEHRAN (IQNA) - Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) katika mji wa Mashhad Kaskazini Mashariki mwa Iran alimkaribisha Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kufanya mazungumzo naye siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3477752    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/18

Mawaidha
TEHRAN (IQNA) - Katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar na katika siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam wa Nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, mtukufu Ali Ibn Musa Ridha (AS), haram ya Imam huyo mkarimu katika mji mtukufu wa Mashhad, nchini Iran imefurika umati wa wafanyaziara na wakazi wa jirani yake, waliosalia nyuma ya msafara wa ziara ya Karbala, ambao kwa kuikosa fursa hiyo adhimu, wamekimbilia kwenye haram ya Imam na maulana wao, Ali Ibn Musa Ridha (AS).
Habari ID: 3477605    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/16

TEHRAN (IQNA)- Katika cha mtandaoni kilichoandaliwa na Shirika la Habari la IQNA, wataalamu waMEsisitiza kwamba kazi zaidi ya kitamaduni inahitajika kufanywa ili kukabiliana na makundi ya kitakfiri au wakufurishaji kama vile Daesh (ISIS au ISIL).
Habari ID: 3475127    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/14