iqna

IQNA

berlin
Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA) – Katika wakati huu wa kukarbia siku ya 15 ya mwezi wa Hijri wa Sha'aban, Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (AS) mjini Berlin, Ujerumani, kimeandaa msururu wa mashindano ya watoto, vijana na vijana.
Habari ID: 3476639    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28

Utamaduni wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Tovuti mpya ya Jumba la Makumbusho la Berlin la Sanaa ya Kiislamu ni jukwaa la kwanza la kidijitali katika ulimwengu unaozungumza Kijerumani kuwasilisha tamaduni za Kiislamu kwa njia ya kibunifu na ya kuburudisha.
Habari ID: 3476624    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/25

Mchezaji soka nchini Ujerumani Danny Blum ametangaza kusilimu na kuutaja Uislamu kuwa dini ya matumaini na nguvu.
Habari ID: 2779913    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/29