iqna

IQNA

sheikh
Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu nchini Russia amesema misikiti 7,500 mipya imejengwa nchini humo wakati wa kipindi cha urais wa Vladimir Putin.
Habari ID: 3461608    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/09

Waandamanaji wamejitokezwa kwa wingi nchini Saudi Arabia katika Mkoa wa Mashariki kubainisha hasira zao kufuatia uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama ya juu ya nchini humo iliyotoa hukumu ya kifo dhidi ya mwanazuoni maarufu wa Kishia Sheikh Nimr Baqir al-Nimr.
Habari ID: 3447680    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/13

Wanaharakati wameandamana tena nje ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London kupinga hukumu ya kifo iliyotolewa na mahakama kuu dhidi ya mwanazuoni mashuhuri wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, Sheikh Nimr Baqir An-Nimr.
Habari ID: 3415411    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/30

Mufti Mkuu wa Tunisia amesema kuwa mirengo yenye kufurutu ada na makundi ya kitakfiri kama ISIS au Daesh ni tishio kuu kwa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3386403    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/17

Kampeni ya kimataifa imeanzishwa kwa lengo la kuushinikikza utawala wa Saudi Arabia kumuachilia huru msomi wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia Sheikh Nimr al-Nimr.
Habari ID: 3338914    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04

Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameandamana katika nchi 20 duniani wakitaka Saudi Arabia imuachilie huru msomi wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia Sheikh Nimr al-Nimr.
Habari ID: 3338080    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/02

Mahakama ya Bahrain imemuhukumu Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa chama cha Kiislamu cha al Wifaq kifungo cha miaka minne jela, baada ya jaji mkuu kutupilia mbali dai lililotolewa na wakili wa kiongozi huyo wa kisiasa na kidini kuhusiana na ushahidi wa uongo uliotolewa dhidi yake.
Habari ID: 3315303    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/17

Utawala dhalimu wa Saudi Arabia unapanga kutekeleza hukumu ya kumnyongoa mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini humo Sheikh Nimr Baqir an-Nimr.
Habari ID: 3284313    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/11

Sheikh Ahmad Karima Mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri amepigwa marufuku kufundisha na siku zijazo atafunguliwa mashtaka mahakamani, kwa kosa eti la kuitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 1470086    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/04