iqna

IQNA

hijja
Waziri wa Hija na Umra wa Saudi Arabia amesema nchi hiyo imepokea mahujaji zaidi ya milioni moja, wageni wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu walioenda kutekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu.
Habari ID: 3477163    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/19

Huduma ya matibabu imetolewa kwa zaidi ya mahujaji elfu 18,000 Hija mjini Madina tangu kuanza kwa mwezi huu wa Kiislamu.
Habari ID: 3477143    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/15

Maonyesho mapya yenye jina la Safari Kupitia Maeneo Matukufu yamefunguliwa huko mjini Jeddah, Saudi Arabia. Maonyesho hayo yanaonyesha mkusanyo wa vipande vya kihistoria na vya kisanii vinavyohusiana na Hija, hija ya kila mwaka ya Waislamu kwenda Makka.
Habari ID: 3477139    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/13

IQNA-Gazeti moja mashuhuri nchini Brunei limefungwa baada ya kuandika kuwa matatizo ya kiuchumi Saudi Arabia yameipelekea iongeze kwa kiasi kikubwa bei ya Visa ya Hija.
Habari ID: 3470664    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ametoa ujumbe wa kila mwaka wa Hija kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu, ambapo amesema Miongoni mwa masuala muhimu na yanayostahiki kupewa kipaumbele kikubwa zaidi hivi sasa ni suala la mshikamano na umoja wa Waislamu.
Habari ID: 1456588    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/03