iqna

IQNA

misaada
Kadhia ya Gaza
IQNA-Maandalizi yanaendelea na Muungano wa Kimataifa wa Msafara wa Meli wa Uhuru, unaoundwa na mashirika yasiyo ya kiserikali kutoka nchi kadhaa, ili kupeleka misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza unaokabiliwa na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3478704    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/20

Misaada kwa Syria
TEHRAN (IQNA)- Shehena ya tano ya misaada ya kibinadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa watu waliokumbwa na mitetemeko ya ardhi nchini Syria iliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus mapema leo Alhamisi.
Habari ID: 3476537    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/09

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza Ijumaa kuwa masanduku ya misaada ni marufuku katika misikiti kote Misri.
Habari ID: 3474529    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/08

IQNA: Waislamu katika mji mkuu wa Uingereza, London wamekusanya tani nyingi za chakula kwa ajili ya kuwasaidia mayatima na watoto wa mitaani katika kipindi hiki cha sherehe za kufunga mwaka.
Habari ID: 3470749    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/19

Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani limeahidi kupeleka misaada ya Iran nchini Yemen. Meli ya Iran ilikuwa ipeleke misaada ya kibinadamu moja kwa nchini Yemen lakini ikashindwa kufanya hivyo kutokana na kuendelea hujuma za katika Bandari ya Hudaydah.
Habari ID: 3307026    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/24

Meli ya misaada ya kibinadamu ya Iran kwa ajili ya wananchi wanaondelea kushambuliwa kinyama na Saudi Arabia huko Yemen inaendelea na safari yake baada ya kuondoka katika bandari ya Bandar Abbas, kusini mwa Iran.
Habari ID: 3292005    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/12