iqna

IQNA

Moscow
Shujaa Muislamu
IQNA - Kijana wa Kiislamu ambaye aliokoa zaidi ya watu 100 wakati wa shambulio la kigaidi dhidi ya ukumbi wa tamasha mjini Moscow , ameendelea kupongezwa na kuenziwa.
Habari ID: 3478595    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/28

Shujaa
IQNA - Mvulana mwenye umri wa miaka 15 anayeitwa Islam amesifiwa baada ya kuokoa zaidi ya watu 100 wakati wa shambulio la kigaidi kwenye ukumbi wa tamasha mjini Moscow siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3478573    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/25

Ugaidi
IQNA-Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) limedai kuhusika na hujuma ya kigaidi ambaye imepelekea watu wasiopunua 115 kupoteza maisha Moscow , mji mkuu wa Russia,
Habari ID: 3478562    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/23

Watetezi wa Palestina
IQNA – Toleo la 19 la Jukwaa la Kimataifa la Russia na Ulimwengu wa Kiislamu lilifanyika mjini Moscow huku wazungumzaji wakizingatia hali mbaya ya Gaza.
Habari ID: 3478028    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/13

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Ahmed Kuzu kutoka Uturuki aliibuka mshindi katika Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Kusoma Qur'ani ya Moscow , nchini Russia
Habari ID: 3476136    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/23

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – –Mashindano ya 20 Kimataifa ya Kusoma Qur'ani ya Moscow yamekamilika katika hafla ya Jumapili usiku katika mji huo mkuu wa Urusi (Russia), ambapo walioshika nafasi za tatu za juu walitangazwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3476126    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/21

TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Russia, Moscow , umeanzisha mpango maalumu wa kusoma (qiraa) Qur'ani Tukufu kwa muda wa masaa 24 kila siku.
Habari ID: 3471815    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/22

Rais Vladmir Putin wa Russia Jumatano amefungua msikiti mkuu wa Moscow ambao ni msikiti mkubwa zaidi barani Ulaya.
Habari ID: 3366927    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24

Awamu ya 16 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'an Tukufu ya Russia yanatazamiwa kufanyika kuanzia tarehe 19 Oktoba katika mji mkuu wa nchi hiyo, Moscow .
Habari ID: 3361692    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/12

Ripoti zinaonyesha kuwa, idadi ya Waislamu katika mji mkuu wa Russia, Moscow inakuwa kwa haraka.
Habari ID: 3332166    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/22

Tamasha la Kimataifa ya Qur’ani linafanyika Moscow mji mkuu wa Russia kwa mara ya kwanza kabisa.
Habari ID: 3327667    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/13